Skiza
Welcome
Login / Register

"Tumerogwa na nani?wapi tunakosea kama nchi?"-Haji Manara

Thanks! Share it with your friends!

URL

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Sorry, only registred users can create playlists.
URL


Added by Admin in Sports
41 Views

Description

Timu ya taifa ya Tanzania bara maarufu kama Kilimanjaro Stars iliyopo nchini Kenya katika michuano ya Kombe la CECAFA Senior Challenge Cup leo imecheza mchezo wake wa kukamilisha ratiba wa michuano hiyo dhidi ya timu ya taifa ya Kenya ambao ndio wenyeji wa michuano hiyo. Kilimanjaro Stars leo imepoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Kenya ikiwa ni mchezo wake wa tatu kupoteza wa hatua ya makundi katika michezo yake minne ikiwa imeambulia sare mchezo mmoja dhidi ya Libya katika mchezo wao wa kwanza.

Post your comment

Comments

Be the first to comment
RSS