Skiza
Welcome
Login / Register

MSURURU WA MADEMU WAMPONZA ALIKIBA, AWEKWA MTU KATI

Thanks! Share it with your friends!

URL

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Sorry, only registred users can create playlists.
URL


Added by Admin in Music
21 Views

Description

MSURURU WA MADEMU WAMPONZA ALIKIBA, AWEKWA MTU KATI
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba amewekwa mtu kati na familia yake kutokana na kuwa na msururu wa mademu, aliobanjuka nao kisha kuwamwaga huku akionesha kuwa mzito wa kuingia kwenye ndoa halali.

Kwa mujibu wa chanzo kutoka ndani ya familia hiyo, wanafamilia, akiwemo mama yake wamemshikia bango kwamba aache tabia yake ya kutoka hovyo na wanawake na badala yake, anatakiwa kutulia na mwanamke mmoja ambaye atafunga naye ndoa na kuwa mkewe halali.

Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli
Category
News & Politics
License
Standard YouTube License

Post your comment

Comments

Be the first to comment
RSS