Skiza
Welcome
Login / Register

Mganga wa kienyeji abaka mtoto wa shule!!

Thanks! Share it with your friends!

URL

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Sorry, only registred users can create playlists.
URL


Added by Admin in Celebrities gossip
46 Views

Description

Hekaheka ya leo August 9 2017 inatokea Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa pwani ambapo kuna mtoto wa kike wa darasa la sita amekwenda kulalamika shuleni kwa mwalimu wake kutokana na vitendo vya ubakaji anavyofanyiwa na jirani yao nyumbani ambaye ni mganga wa kienyeji..
Mwalimu aliyepewa taarifa hizo na mwananfunzi wake alilifikisha kwa mwalimu mkuu kisha wakamuita mama mzazi wa binti huyo na kumueleza na kwa pamoja wakafanya taratibu za kumkamata mganga huyo wa kishirikiana na Mama mzazi pamoja na askari
polisi
Sikiliza kisa kizima hapa

Post your comment

Comments

Be the first to comment
RSS