Skiza
Welcome
Login / Register

JINSI YA KUBASHIRI NAMBA INAYOFUATA KWENYE TATU MZUKA..

Thanks! Share it with your friends!

URL

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Sorry, only registred users can create playlists.
URL


Added by Admin in Sports
2,732 Views

Description

Ndani ya video hii ntakuonyesha app ambayo inaweza kukusaidia ukatabiri zile namba tatu kwenye tatu mzuku

Njia hii ni njia ambayo nimeigundua inaweza kukisaidia lkn uchagua namba ambazo unahisi zipo sahihi

Ndani ya app hii kunauwezekano mkubwa wa kula tatu mzuka namba mbili ila ukivhagua vizur unaweza kula namba tatu kama nilivyoonyesha.

Share video hii pamoja na marafiki zako ili kupiga mtonyo ndani ya tatu mzuka

Nadhani njia hii itasaidia kwa kiasi Fulani
Lakini kama unanamba zako za bahati usisite kuziweka kabla ya kuchagua huku

Una asilimia 90℅ kushinda kupitia app hii 10℅ zilizo baki nizako kuchagua namba.

ASANTENI SANA

naomba mnisaidie kufikisha
Like

Post your comment

Comments

Be the first to comment
RSS